Mwanzo 7:13 BHN

13 Siku hiyohiyo mvua ilipoanza kunyesha, Noa, mkewe na wanawe, Shemu, Hamu na Yafethi, pamoja na wake zao, waliingia ndani ya safina.

Kusoma sura kamili Mwanzo 7

Mtazamo Mwanzo 7:13 katika mazingira