Mwanzo 7:21 BHN

21 Viumbe wote hai katika nchi wakafa. Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama wa porini, makundi ya viumbe wote katika nchi kavu na wanadamu wote;

Kusoma sura kamili Mwanzo 7

Mtazamo Mwanzo 7:21 katika mazingira