Mwanzo 7:4 BHN

4 Baada ya siku saba, nitanyesha mvua nchini siku arubaini mchana na usiku, na kila kiumbe hai nilichokiumba duniani nitakiangamiza.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 7

Mtazamo Mwanzo 7:4 katika mazingira