Mwanzo 8:13 BHN

13 Noa alipokuwa na umri wa miaka 601, siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, maji yalikuwa yamekauka katika nchi. Noa akafunua kifuniko cha safina na alipotazama, akaona kwamba nchi ilikuwa imekauka.

Kusoma sura kamili Mwanzo 8

Mtazamo Mwanzo 8:13 katika mazingira