Mwanzo 8:17 BHN

17 Toa pia viumbe wote hai wa kila aina waliokuwa pamoja nawe, ndege na wanyama na kila kiumbe kitambaacho, wapate kuzaa kwa wingi duniani, waongezeke na kuenea kila mahali duniani.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 8

Mtazamo Mwanzo 8:17 katika mazingira