Mwanzo 9:15 BHN

15 nitalikumbuka agano langu nanyi na viumbe vyote hai. Kamwe maji hayatageuka kuwa gharika ya kuviangamiza viumbe vyote hai.

Kusoma sura kamili Mwanzo 9

Mtazamo Mwanzo 9:15 katika mazingira