Ayu. 1:4 SUV

4 Nao wanawe huenda na kufanya karamu katika nyumba ya kila mmoja wao kwa siku yake; nao wakatuma na kuwaita maumbu yao watatu ili waje kula na kunywa pamoja nao.

Kusoma sura kamili Ayu. 1

Mtazamo Ayu. 1:4 katika mazingira