19 Yeye hujilaza hali ni tajiri, lakini ndio mwisho;Hufunua macho yake, naye hayuko.
20 Vitisho vyampata kama maji mengi;Dhoruba humwiba usiku.
21 Upepo wa mashariki humchukua, naye huondoka;Na kumkumba atoke mahali pake.
22 Kwani Mungu atamtupia asimhurumie;Angependa kuukimbia mkono wake.
23 Watu watampigia makofi,Na kumzomea atoke mahali pake.