37 Ningemwambia hesabu ya hatua zanguNingemkaribia kama vile mkuu.
38 Kama nchi yangu yalia juu yangu,Na matuta yake hulia pamoja;
39 Kama nimeyala matunda yake pasipo kulipa,Au kama nimewafanya wenyewe kupotewa na uhai;
40 Miiba na imee badala ya ngano,Na magugu badala ya shayiri.Maneno ya Ayubu yamekoma hapa.