29 Naam, mtu aweza kuelewa na matandazo ya mawingu,Ngurumo za makao yake?
30 Tazama, yeye huutandaza mwanga wake, umzunguke;Naye hufunika vilindi vya bahari.
31 Kwani huwahukumu kabila za watu kwa njia hizi;Hutoa chakula kwa ukarimu.
32 Yeye huifunika mikono yake kwa umeme;Na kuuagiza shabaha utakayopiga.
33 Mshindo wake hutoa habari zake,Anayewaka hasira juu ya uovu.