1 Je! Waweza wewe kumvua mamba kwa ndoana?Au, kuufunga ulimi wake kwa kamba?
2 Je! Waweza kutia kamba puani mwake?Au kutoboa taya yake kwa kulabu?
3 Je! Atakusihi sana?Au, atakuambia maneno ya upole?
4 Je! Atafanya agano pamoja nawe,Umtwae kuwa mtumishi wako milele?