Ayu. 42:10 SUV

10 Kisha BWANA akaugeuza uteka wa Ayubu, hapo alipowaombea rafiki zake; BWANA naye akampa Ayubu mara mbili kuliko hayo aliyokuwa nayo kwanza.

Kusoma sura kamili Ayu. 42

Mtazamo Ayu. 42:10 katika mazingira