Ayu. 7:4

Swahili Union Version

4Hapo nilalapo chini, nasema,Nitaondoka lini? Lakini usiku huwa mrefu;Nami nimejawa na kujitupa huku na huku hata kupambazuke.

Ayu. 7:4 — SUV