32 Kwani yeye si mtu, kama mimi, hata nimjibu,Hata tukaribiane katika hukumu.
33 Hapana mwenye kuamua katikati yetu,Awezaye kutuwekea mkono sote wawili.
34 Na aniondolee fimbo yake,Na utisho wake usinitie hofu;
35 Ndipo hapo ningesema, nisimwogope;Kwani sivyo nilivyo nafsini mwangu.