Isa. 1:4 SUV

4 Ole wake, taifa lenye dhambi, watu wanaochukua mzigo wa uovu, wazao wa watenda mabaya, watoto wanaoharibu; wamemwacha BWANA, wamemdharau yeye aliye Mtakatifu wa Israeli, wamefarakana naye na kurudi nyuma.

Kusoma sura kamili Isa. 1

Mtazamo Isa. 1:4 katika mazingira