Isa. 1:7 SUV

7 Nchi yenu ni ukiwa; miji yenu imeteketezwa kwa moto; nchi yenu, wageni wameila mbele ya macho yenu; nayo ni ukiwa, kana kwamba imeangamizwa na wageni.

Kusoma sura kamili Isa. 1

Mtazamo Isa. 1:7 katika mazingira