Isa. 1:6 SUV

6 Tangu wayo wa mguu hata kichwani hamna uzima ndani yake; bali jeraha na machubuko na vidonda vitokavyo usaha; havikufungwa, havikuzongwa-zongwa, wala havikulainishwa kwa mafuta.

Kusoma sura kamili Isa. 1

Mtazamo Isa. 1:6 katika mazingira