Isa. 11:12 SUV

12 Naye atawatwekea mataifa bendera, atawakutanisha watu wa Israeli waliotupwa, atawakusanya watu wa Yuda waliotawanyika, kutoka ncha nne za dunia.

Kusoma sura kamili Isa. 11

Mtazamo Isa. 11:12 katika mazingira