Isa. 11:13 SUV

13 Na wivu wa Efraimu utaondoka, na wale wanaomwudhi Yuda watakatiliwa mbali; Efraimu hatamhusudu Yuda, wala Yuda hatamwudhi Efraimu.

Kusoma sura kamili Isa. 11

Mtazamo Isa. 11:13 katika mazingira