Isa. 11:16 SUV

16 Itakuwako njia kuu kwa mabaki ya watu wake watakaobaki, watokao Ashuru, kama vile ilivyokuwako kwa Israeli, katika siku ile waliyotoka katika nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Isa. 11

Mtazamo Isa. 11:16 katika mazingira