Isa. 12:1 SUV

1 Na katika siku hiyo utasema,Ee BWANA, nitakushukuru wewe;Kwa kuwa ijapokuwa ulinikasirikia,Hasira yako imegeukia mbali,Nawe unanifariji moyo.

Kusoma sura kamili Isa. 12

Mtazamo Isa. 12:1 katika mazingira