Isa. 11:2 SUV

2 Na roho ya BWANA atakaa juu yake, roho ya hekima na ufahamu, roho ya shauri na uweza, roho ya maarifa na ya kumcha BWANA;

Kusoma sura kamili Isa. 11

Mtazamo Isa. 11:2 katika mazingira