Isa. 11:3 SUV

3 na furaha yake itakuwa katika kumcha BWANA; wala hatahukumu kwa kuyafuata ayaonayo kwa macho yake, wala hataonya kwa kuyafuata ayasikiayo kwa masikio yake;

Kusoma sura kamili Isa. 11

Mtazamo Isa. 11:3 katika mazingira