Isa. 11:4 SUV

4 bali kwa haki atawahukumu maskini, naye atawaonya wanyenyekevu wa dunia kwa adili; naye ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, na kwa pumzi ya midomo yake atawaua wabaya.

Kusoma sura kamili Isa. 11

Mtazamo Isa. 11:4 katika mazingira