Isa. 13:10 SUV

10 Maana nyota za mbinguni na matangamano havitatoa nuru yake; jua litatiwa giza wakati wa kucha kwake, na mwezi utaacha nuru yake isiangaze.

Kusoma sura kamili Isa. 13

Mtazamo Isa. 13:10 katika mazingira