Isa. 13:11 SUV

11 Nami nitaadhibu ulimwengu kwa sababu ya ubaya wake, na wenye dhambi kwa sababu ya hatia yao; nami nitaikomesha fahari yao wenye kiburi; nami nitayaangusha chini majivuno yao walio wakali;

Kusoma sura kamili Isa. 13

Mtazamo Isa. 13:11 katika mazingira