Isa. 13:13 SUV

13 Kwa hiyo nitazitetemesha mbingu, na dunia itatikiswa itoke katika mahali pake, kwa sababu ya ghadhabu ya BWANA wa majeshi, na kwa sababu ya siku ya hasira yake kali.

Kusoma sura kamili Isa. 13

Mtazamo Isa. 13:13 katika mazingira