Isa. 13:14 SUV

14 Basi, itakuwa kama vile paa aliyetishwa, na kama kondoo wasio na mtu wa kuwakusanya; kila mtu atageukia watu wake; nao watakimbia, kila mtu aende nchi yake mwenyewe.

Kusoma sura kamili Isa. 13

Mtazamo Isa. 13:14 katika mazingira