Isa. 13:4 SUV

4 Kelele milimani kama kelele za watu wengi sana; kelele za falme za mataifa waliokutana pamoja; BWANA wa majeshi anapanga jeshi kwa vita;

Kusoma sura kamili Isa. 13

Mtazamo Isa. 13:4 katika mazingira