Isa. 13:5 SUV

5 watu waliotoka katika nchi iliyo mbali, tokea upande wa mwisho wa mbingu; naam, BWANA na silaha za ghadhabu yake, ili aiangamize nchi yote.

Kusoma sura kamili Isa. 13

Mtazamo Isa. 13:5 katika mazingira