Isa. 14:1 SUV

1 Maana BWANA atamhurumia Yakobo, atamchagua Israeli tena, naye atawaweka katika nchi yao wenyewe; na mgeni atajiunga nao, nao wataambatana na nyumba ya Yakobo.

Kusoma sura kamili Isa. 14

Mtazamo Isa. 14:1 katika mazingira