Isa. 14:3 SUV

3 Tena itakuwa katika siku ile, ambayo BWANA atakupa raha baada ya huzuni yako, na baada ya taabu yako, na baada ya utumishi ule mgumu uliotumikishwa;

Kusoma sura kamili Isa. 14

Mtazamo Isa. 14:3 katika mazingira