Isa. 15:4 SUV

4 Heshboni analia na Eleale; mpaka Yahasa sauti ya kulia kwao inasikiwa; hata watu wa Moabu waliovaa silaha wanapiga kelele sana kwa sababu hiyo; nafsi yake inatetemeka ndani yake.

Kusoma sura kamili Isa. 15

Mtazamo Isa. 15:4 katika mazingira