Isa. 15:5 SUV

5 Moyo wangu unamlilia Moabu; wakuu wake wanakimbilia Soari kama ndama wa miaka mitatu; kwa maana wanapanda mbavu za Luhithi wakilia; maana katika njia iendayo hata Horonaimu wanapaliza sauti ya kukata tamaa.

Kusoma sura kamili Isa. 15

Mtazamo Isa. 15:5 katika mazingira