Isa. 16:4 SUV

4 Watu wangu waliofukuzwa waache wakae pamoja nawe; katika habari za Moabu, uwe sitara kwake mbele ya uso wake anayeharibu; maana yeye atozaye kwa nguvu amekoma; afanyaye ukiwa ametoweka; waliokanyaga watu wametoka katika nchi.

Kusoma sura kamili Isa. 16

Mtazamo Isa. 16:4 katika mazingira