Isa. 16:5 SUV

5 Na kiti cha enzi kitafanywa imara kwa rehema; na mmoja ataketi juu yake katika kweli, katika hema ya Daudi; akifanya hukumu, akitaka sana yaliyo haki, mwepesi wa kutenda haki.

Kusoma sura kamili Isa. 16

Mtazamo Isa. 16:5 katika mazingira