Isa. 16:6 SUV

6 Tumesikia habari za kiburi cha Moabu, ya kwamba ni mwenye kiburi kingi; habari za majivuno yake, na kiburi chake, na ghadhabu yake; majivuno yake si kitu.

Kusoma sura kamili Isa. 16

Mtazamo Isa. 16:6 katika mazingira