Isa. 17:10 SUV

10 Maana umemsahau Mungu wa wokovu wako, wala hukuukumbuka mwamba wa ngome yako; kwa sababu hiyo ulipanda mashamba yapendezayo, na kutia ndani yake mizabibu migeni.

Kusoma sura kamili Isa. 17

Mtazamo Isa. 17:10 katika mazingira