Isa. 17:9 SUV

9 Katika siku hiyo miji yake yenye maboma itakuwa kama mahali palipoachwa ndani ya mwitu, na juu ya kilele cha mlima, palipoachwa mbele ya wana wa Israeli; napo patakuwa ganjo.

Kusoma sura kamili Isa. 17

Mtazamo Isa. 17:9 katika mazingira