Isa. 17:8 SUV

8 Wala hataziangalia madhabahu, kazi ya mikono yake; wala hatavitazama vilivyofanyika kwa vidole vyake, maashera na sanamu za jua.

Kusoma sura kamili Isa. 17

Mtazamo Isa. 17:8 katika mazingira