Isa. 17:6 SUV

6 Lakini kilichosazwa na mvunaji kitakuwa ndani yake, kama vile wakati wa kupiga mizeituni, matunda mawili matatu yaliyo juu sana; matunda manne matano katika matawi, matawi ya mti wa matunda, asema BWANA, Mungu wa Israeli.

Kusoma sura kamili Isa. 17

Mtazamo Isa. 17:6 katika mazingira