Isa. 17:5 SUV

5 Tena itakuwa kama hapo avunaye ashikapo mabua ya ngano, na mkono wake ukatapo masuke; tena itakuwa kama hapo mtu aokotapo masuke katika bonde la Warefai.

Kusoma sura kamili Isa. 17

Mtazamo Isa. 17:5 katika mazingira