Isa. 2:11 SUV

11 Macho ya mwanadamu yaliyoinuka yatashushwa chini, na kiburi cha mwanadamu kitainamishwa, naye BWANA, yeye peke yake, atatukuzwa siku hiyo.

Kusoma sura kamili Isa. 2

Mtazamo Isa. 2:11 katika mazingira