Isa. 2:12 SUV

12 Kwa maana kutakuwa siku ya BWANA wa majeshi juu ya watu wote wenye kiburi na majivuno, na juu ya yote yaliyoinuka; nayo yatashushwa chini.

Kusoma sura kamili Isa. 2

Mtazamo Isa. 2:12 katika mazingira