Isa. 2:2 SUV

2 Na itakuwa katika siku za mwisho, mlima wa nyumba ya BWANA utawekwa imara juu ya milima, nao utainuliwa juu ya vilima; na mataifa yote watauendea makundi makundi.

Kusoma sura kamili Isa. 2

Mtazamo Isa. 2:2 katika mazingira