Isa. 2:3 SUV

3 Na mataifa mengi watakwenda na kusema, Njoni, twende juu mlimani kwa BWANA, nyumbani kwa Mungu wa Yakobo, naye atatufundisha njia zake, nasi tutakwenda katika mapito yake maana katika Sayuni itatoka sheria, na neno la BWANA katika Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Isa. 2

Mtazamo Isa. 2:3 katika mazingira