Isa. 2:6 SUV

6 Maana wewe umewaacha watu wako, nyumba ya Israeli, kwa sababu wamejaa kawaida za mashariki, nao ni wapiga ramli kama Wafilisti, na wanapana mikono na wana wa wageni.

Kusoma sura kamili Isa. 2

Mtazamo Isa. 2:6 katika mazingira