Isa. 2:7 SUV

7 Tena nchi yao imejaa fedha na dhahabu, wala hapana mwisho wa hazina zao; tena nchi yao imejaa farasi, wala hapana mwisho wa magari yao.

Kusoma sura kamili Isa. 2

Mtazamo Isa. 2:7 katika mazingira