Isa. 20:4 SUV

4 vivyo hivyo mfalme wa Ashuru atawachukua uchi, wafungwa wa Misri, na watu wa Kushi waliohamishwa, watoto kwa wazee, hawana viatu, matako yao wazi, Misri iaibishwe.

Kusoma sura kamili Isa. 20

Mtazamo Isa. 20:4 katika mazingira