Isa. 22:21 SUV

21 nami nitamvika vazi lako, nitamtia nguvu kwa mshipi wako, nami nitamkabidhi yeye mamlaka yako; naye atakuwa baba kwa wenyeji wa Yerusalemu, na kwa nyumba ya Yuda.

Kusoma sura kamili Isa. 22

Mtazamo Isa. 22:21 katika mazingira